Picha hiyo hapo juu inaonesha namna unavyoweza kupanda mazao yako kwa mzunguko na ukazalisha kwa tija. Faida za kilimo cha Mzunguko ni pamoja na zifuatazo:
- kudhibiti wadudu na magonjwa
- Kuboresha afya ya udongo
- Kupata mazao mengi
- Kupunguza gharama za matumizi ya viuatilifu
- Kuongeza kipato
Wasiliana nasi kupata maelezo zaidi 0769239946 (Whatsapp au tuma ujumbe mfupi)

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni